Breaking News

Your Ad Spot

Mar 7, 2012

NAPE AKUTANA NA NAIBU MKUU WA KITENGO CHA MASUALA YA AFRIKA WA UINGEREZA

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimkaribisha Naibu Mkuu wa Kitengo cha Masuala ya Afrika wa Uingereza Nick Pyle  aliyemtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi Msaidizi wa Uingereza hapa nchini, Susie Kitchens
 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Naibu Mkuu wa Kitengo cha Masuala  ya Afrika wa Uingereza  Nick Pyle (kushoto) aliyemtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. Katikati ni Balozi Msaidizi wa Uingereza hapa nchini, Susie Kitchens

 Nape akimfafanulia jambo  Balozi Msaidii wa Uingereza Hapa nchini, Susie Kitchens wakati wa mazungumzo hayo.
Baadae wakapata picha ya pamoja nye ya Ofisi ya CCM, Lumumnba

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages