.

LEO NI LEO CCM NA CHADEMA ARUMERU

Apr 1, 2012

Wagombea wa CCM Sioi Sumari  (kushoto) na Joshua Nassari wa CHADEMA ndio ambao wapo  kwenye mchuani wa nai kati yao aibuke kuwa mshindi wa Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki kufuatia wananchi kupiga kura leo. Licha ya kuwa mchuno upo zaidi kwa wagombea hao, wapo wgombea wengine kutoka vyama sita, AFP, DP, NRA, SAU, TLP na UPDP,  ambavyo vinahesabiwa kama wasindikizaji katika uchaguzi huo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª