Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Deokalyus Makwasinga, ambaye alikuwa dereva wa Ikulu kabla ya kukutwa na mauti kwa ajali ya gari Ijumaa usiku sehemu za Kimara jijini Dar es salaam. shughuli hii imefanyika Jumapili,May 6, 2012, nyumbani kwa marehemu Kimara, jijini Dar es salaam, kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Mahenge, Morogoro, kwa mazishi.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269