Breaking News

Your Ad Spot

May 20, 2012

KUMBUKUMBU YA SHEIKH YAHYA HUSEEIN LEO

Marehemu Sheikh Yahya

Leo Jumapili, Mei 20, 2012 ndiyo siku ambayo aliyekuwa mtabiri maarufu wa nyota Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein anatimiza mwaka mmoja tangu alipofariki dunia mjini Dar es Salaam.
      Sheikh yahya Hussein alifariki dunia Mei 20, 2011 na kuzikwa Siku ya Jumamosi, Magomeni jijini Dar es Salaam.
      Kwa mujibu wa habari tulizo nazo, familia ya Sheikh Yahya leo itafanya kisomo maalum cha kumbukumbu yake.              

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages