Breaking News

Your Ad Spot

May 19, 2012

MABONDIA TAYARI KUPIMA UZITO KWA MPAMBANO WAO

Mabondia Ramadhani Kumbele na James Mokiwa (pichani) leo wamepima uzito, kwa ajili ya mpambano wao utakao fanyika kesho katika ukumbi wa Vijana,Kinondoni.

Baada ya kupima uzito,  mabondia hao wametamba kila mmoja kuwa yupo katika hali nzuri na amejiandaa kushinda.

Katika mpambano huo ambao utakuwa wa ubingwa wa Bantam
weight(53.5kgs) ubingwa wa taifa, utasimamiwa na TPBO na utakuwa na mapambano ya utangulizi ambayo kati ya Jafar Majia na Daud Muhunzi (raundi sita), Mustafa Doto na Amos Mwamakula (raund sita) na Doi Miyeyusho atacheza na Jumanne Mtengela (raundi sita).
,
Wengine ni Jafar Majia na Daudi Muhunzi (raunda sita-Middle weight), Franci Suba na Ibrahim Tampa (raundi sita-fly weight Sadat Miyeyusho atacheza na Swedi Hassan, Martin Richard na Yohana Thobias.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages