Breaking News

Your Ad Spot

May 1, 2012

MEI MOSI MKOA WA DAR ES SALAAM

 Maandamano ya wafanyakazi wa Mashirka na Taasisi mbalimbali yakipita kwenye makutano ya barabara ya Msimbazi na Morogoro, leo wakati yakitokea Viwanja vya Kidongo Chenkundu kwenda Mnazi Mmoja kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani aka MEI MOSI.
 Wafanyakazi wa kampuni ya TSN, wachapishaji wa magazeti ya Daily News, Sunday News, Habari elo na Spoti Leo wakiwa na bango lao kwenye maanamano hayo
 Wafanyakazi wa TSN walkionyesha furaha wakati wakiwa kwenue matembezi hayo
 Wafanyakazi wa TSN
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHF)  wakiwa kwenue maandamano hayo na miavuli yenye nembo ya Taasisi hiyo.
 Wafanyakazi wa NHF
 Mahakama nao hawakubaki nyumba kwenye maandamano hayo
 Wakati baadhi ya Watanzania wanalia na wawekezaji Wafanyakazi wa Swussport wao wanasema wawekezaji siyo wabaya ila....
 Hawa nao ni wafanyakazo wa taaisi moja, wakikimbia na bango lao kuwahi Mnazi Mmoja
 Wengi wamejitokeza katika kuhakikisha Siku yao ya wafanyakazi  inanoga
 Tafadhali soma ujumbe wa wafanyakazi hawa.
Kutokana na maandamano hayo magari yalilazimika kusubiri kwa zaidi ya dakika 25 kwenye taa za kuongozea magari katika makutano ya barabara ya Morogoro, kiasi kwamba kodakta  wa daladala moja alipata fursa ya kwenda ku-chati na Trafiki (kushoto) kama walivyonaswa na kamera yetu.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages