Breaking News

Your Ad Spot

May 19, 2012

MICHUANO YA POOL VYUO VYA ELIMU YA JUU DAR YAANZA LEO,FAINALI KESHO

 Timu za Pool za vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu mkoa wa Dar es Salaam, zikiingia kwenye ukumbi wa michuano hiyo, leo, Coco Beach. Vyuo vinavyoshiriki ni, DIT, DSJ, CBE,OUT,TSJ,TIA,ITA,SJMC, Mwalimu Nyerere Memorial Academy, Ardhi,IFM na RCT. Michuano hiyo inadhaminiwa na Bia ya Safari Lager.
 Katibu Mkuu wa Chama Cha  Pool Tanzania, Amos Kafwinga (kushoto) akifungua michuano hiyo leo. Kulia ni Katibu wa chama cha mchezo huo, Ilala, Mohammed Mwarabu ambaye pia ni refa wa mchezo huo.
 Kafwinga akifungua michuano hiyo kwa kucheza Pool
 Wadau wa mchezo huo wakiwa ukumbini kushuhudia kitim timu cha mpambano huo
 Timu ya Pool ya Chuo cha Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC wakiwa katika picha ya pamoja.
Wachezaji wa timu ya Chuo cha Royal

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages