Breaking News

Your Ad Spot

Jun 18, 2012

FARU WATATU KUTOKA UINGEREZA WAKABIDHIWA KWA WAZIRI KAGASHEKI

Waziri wa Malisili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akipeana mkono na Balozi wa Uingereza nchini. Bi. Dianne Corner mara baada ya balozi kukabidhi faru watatu walioletwa nchini kutoka Uingereza kwa ajili ya Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi. (Picha na Pascal Shelutete)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages