Breaking News

Your Ad Spot

Jun 1, 2012

NAPE AKAGUA MAENDELEO UJENZI WA HOSPITALI YA RUFANI SINGIDA

 Katibu wa Halmashauri Kuu ta Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na viongozi wa CCM mkoa wa Singida baada ya kuwasili leo kwa ziara ya siku moja
 Katibu Tawala wa mkoa wa Singida, Liana Hassan (wapili kulia) akimuonyesha Nape (wapili kushiti), ramani ya jengo la utawala la hospitali ya rufani ya Singida ambayo ujenzi unaendelea. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Singida, Jerome Alute
 Nape na ujumbe wake wakikagua ujenzi wa hospitali hiyo
 Naape akionyeshwa na maofisa ujenzi, sehemu mbalimbali ndani ya majengo ya hospitali hiyo.
 Nape akimsiliza Liana Hassani (kushoto) aliyekuwa akimpa maelezo kuhusu maendeleo ya ujenzi  wa hospitali hiyo
Nape na ujumbe wake wakikagua zaidi jengo la hospitali hiyo. ikikamilika itakuwa na jumla ya majengo 37.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages