Breaking News

Your Ad Spot

Jun 18, 2012

NAPE: WABUNGE MSILALAMIKIE BAJETI BARABARANI, MTACHEKWA!!!

 *Kwa nini mnalalamika badala ya kutimiza wajibu wenu? Mnamlalamikia nani?
Nape kwenye moja ya mikutano mikubwa ya CCM
Kimsingi Bajeti inapopelekwa na serikali Bungeni inakwenda kwa ajili ya mjadala na marekebisho palipo na mapungufu siyo kwenda kupitishwa kama wajibu tu, tunategemea mjadala wenye lengo la kuiboresha kwa faida ya wananchi.
    Sasa haya malalamiko yanayotolewa barabarani/mitaani na baadhi ya wabunge, mara " niko tayari kufukuzwa"!! Nani anamfukuza nani?! Nani anayetishia uhuru, haki na wajibu wa kikatiba wa wabunge wetu mpaka wanalalamika barabarani?!! Nashauri wabunge timizeni wajibu wenu, jadilini na kuishauri serikali ndani ya bunge juu ya maboresho ya bajeti iliyoletwa kwenu!

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages