Breaking News

Your Ad Spot

Jun 10, 2012

STARS SAFI, GAMBIA YALALA 2-1

Wachezaji wa timu ya Taifa, Taifa Stars wakishangilia baada ya kupata bao la pili katika mechi yao dhidi ya Gambia jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Hadi mwisho wa mpambano Stars imeibuka na ushindi wa mabao 2-1

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages