Breaking News

Your Ad Spot

Jun 15, 2012

STARS YATUA MSUMBIJI KUPAMBANA NA MAMBAZ

 Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Kim Poulsen (kulia) na wachezaji wa timu hiyo wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo, Msumbiji, baada ya kuwasili nchini Msubiji kwa ajili ya mpambano wao na timu ya Taifa ya nchi hiyo, Mambaz
Kocha Kim Poulsen akiwaongoza wachezaji wa timu hiyo katika mazeozi mjini Maputo,  kujiandaa na mechi dhidi ya timu hiyo na Msumbiji keshokutwa, Jumapili.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages