Breaking News

Your Ad Spot

Jul 13, 2012

DK. SLAA AKUBALI AMRI YA KUHOJIWA NA POLISI KUHUSU MADAI YA NJAMA ZA BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA KUUAWA

Katibu Mkuu wa Chadema, Wilbrod Salaa akiwasili kwenye Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Polisi mjini Dar es Salaam, kutii amri ya polisi iliyomtaka kutoa maelezo kuhusu madai yaliyotolewa na chama hicho  juzi kati kwamba kuna njama zinafanywa na vyombo vya ulizni na usalama vya serikali kuwaua baadhi ya viongozi wa chama hicho. Kulia ni aliyekuwa Mbunge wa Arusha mjini,  
 Haya piteni hapa, Polisi akiwaonyesha njia Dk. Slaa na mwenzake
 Hamjambo? Dk. Slaaa akasalimia baadhi ya watu waliokuwa eneo hilo
Baadhi ya watu waliokuwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kutaka kujua kilichokuwa kikiendelea

 Kisha akazungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na polisi
Harakati za siasa zikaendelea! wafuasi wakasukuma gari lake wakati akiondoka Picha na HABARI MSETO BLOG . Habari zaidi BONYEZA HAPA

1 comment:

  1. mkuu tupo pamoja, Mkuu naona wizi unaibuka tena hasa sehemu za nje ya mji,kama Kipinguni, Gongolamboto....wizi sasa ni mchanamchana,...hawa polisi wasambae, maana hali ilivyo ngumu, tutafika pabaya!

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages