.

KOCHA WA YANGA ATUA DAR

Jul 4, 2012

Kocha Tom Saintfiet kutoka Ubelgiji amewasili leo jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuanza kibarua cha kuinoa timu ya yanga. Pichani, Kocha huyo akizungumza na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kutua nchini.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช