Breaking News

Your Ad Spot

Jul 12, 2012

WANAFUNZI WAWILI KUTOKA UN CLUBS KUIWAKILISHA TANZANIA KONGAMANO LA MANDELA AFRIKA KUSINI.


Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa nchini (UNDP) Bw. Phillippe Poinsot akimkabidhi barua Mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Azania Rahim Rajab ambaye ni mmoja wa kati ya wanafunzi wawili wajumbe wa UN Clubs waliochaguliwa kuhudhuria Kongamano la maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela litakalofanyika Johannesburg Afrika Kusini ambayo huadhimishwa kila mwaka Julai 18.
Wanafunzi hao wamepewa duhamini wa Tiketi za kwenda na kurudi na Shirika la Ndege la Afrika Kusini (South African Airways-SAA). PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages