.

YANGA YAIKUNG'UTA WAU EL SALAM 7-1, KAGAME CUP

Jul 17, 2012

Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza (kulia) akichuana na beki wa tmu ya Wau El Salam ya Sudan ya Kusini, Ismaul Mussa Juma wakati wa mchezo wa kundi C, Kombe la Kagame, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-1. PICHA: HABARI MSETO

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช