Jengo la Benki ya CRDB Tabata Magengeni ndiyo hili
Meneja wa Benki ya CRDB PCL tawi la Tabata, Dar es Salaam, Hawa Sasya akiwa ofisini kwake jana.
Meneja wa Benki ya CRDB PCL tawi la Tabata, Dar es Salaam, Hawa Sasya akiwa ofisini kwake katika benki hiyo jana
Mmoja wa Maofisa wa Benki hiyo akiwa kazini
Mmoja wa maofisa wa benki hiyo akiwa kazini katika tawi hilo
Meneja wa Benki ya CRDB PCL tawi la Tabata, Dar es Salaam, Hawa Sasya ( watatu kushoto) akiwasaidia wateja kupata huduma wanazotaka, kwenye tawi hilo, jana. Tawi hilo jipya limefunguliwa mapema mwaka huu ikiwa CRDB ndiyo benki pekee inayotoa huduma za kibenki katika eneo hilo. Kwa Mujibu wa Meneja huyo tawi hilo huhudumia wastani wa wateja 300 kwa siku.
Eneo la Huduma kwa wateja ndani ya tawi la benki hiyo, Tabata. Habari zaidi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269