.

HUKUMU KESI YA UBUNGE IGUNGA LEO

Aug 21, 2012

Mbunge wa Sasa wa Jimbo la Igunga, Dk. Dalally Peter Kafumu akifurahi baada ya kushinda katika uchaguzi  mdogo uliofanyika Septemba mwaka jana katika jimbo hilo, kufuatia kiti kubaki wazi baada ya aliyekuwa mbunge wake, Rostam Aziz kujiuzulu kutokana na kashfa za ufisadi. Aliyemfuatia kwa karibu katika ushindi alikuwa mgombea wa Chadema Joseph Kashindye, chama ambacho ndicho kilienda mahakamani kupinga matokeo.


0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª