.

MAMIA YA WAANDISHI WAUAGA MWILI WA MBOGORA

Aug 19, 2012


Mamia ya Waandishi wa habari wamejitokeza kwa wingi kumuaga mwandishi mwenzao Alfred Mbogora aliyefariki jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kuugua ghafla, mwili wa marehemu umesafirishwa leo kwenda Musoma.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช