.

NAPE JINO KWA JINO NA DK. SLAA, AKANUSHA CCM KUINGIZA SILAHA NCHINI

Aug 21, 2012

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam na kuzungumzia maswala mbalimbali lakini kubwa zaidi kukanusha Madai ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Wilbrod Slaa kwamba CCM imekuwa ikiingiza silaha nchini. Habari zaidi BOFYA HAPA KWENYE UK. WA SIASA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช