.

RAIS JAKAYA KIKWETRE AENDA KAMLAPA LEO

Aug 7, 2012


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rubani Bomani na wanaanga wenzie  wa Ndege za Serikali  kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuuasubuhi leo Agosti 8, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Mhe Saidi Mecky Sadik  kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda,kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuu asubuhi leo Agosti 8, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mnadimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi la Tanzania  Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo  kabla ya kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuuasubuhi leo Agosti 8, 2012. Katikati yao ni Inspoekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema. PICHA NA IKULU

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª