.

RAIS KIKWETE AFURAHIA MAVUNO YA MAHINDI SHAMBANI KWAKE

Aug 22, 2012Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma, wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete ambaye ni mkulima na mfugaji katika kijijini hicho, ameelezea  kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi aliyopata shambani kwake. PICHA NA IKULU

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช