.

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA SHEKHE MKUU WA KIJIJI CHA MSATA, BAGAMOYO, MKOA WA PWANI

Aug 7, 2012


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishitiki katika kumuombea dua  Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana  akiwa na umri wa miaka 88, pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa miaka 88, pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM.  PICHA NA IKULU

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª