Breaking News

Your Ad Spot

Aug 11, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MAZISHI YA RAIS JOHN ATTA MILLS WA GHANA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo wakati shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana katika ukumbi wa Mikutano wa Ghana jijini Accra, Agosti 10, 2012.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima kwa aliyekuwa Rais wa Ghana Marehemu Profesa John Evans Atta Mills katika ukumbi wa Mikutano wa Ghana jijini Accra, Agosti 10, 2012.
 Jeneza lenye mwili waaliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills  likifikishwa na wanajeshi wa nchi hiyo katika uwanja wa Independence Square jijini Accra,, Agosti 10, 2012
 Jeneza lenye mwili waaliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills  likifikishwa na wanajeshi wa nchi hiyo katika uwanja wa Independence Square jijini Accra,, Agosti 10, 2012
 Rais Kikwete akiwa na baadhi ya viongozi waliohudhuria maziko hayo
Eneo la Jukwaa Kuu kwenye Uwanja wa  Independende Square wakati wa Shughuli mbalimbali za  mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills. PICJA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages