.

SIMBA KUMTANGAZA NGASSA KESHO??

Aug 2, 2012

  "Klabu ya soka ya Simba inawakaribisha kwa dhati kesho kuhudhuria mkutano wake na waandishi wa habari utakaofanyika katika Ukumbi wa Makao Makuu ya Klabu Mtaa wa Msimbazi Saa TANO KAMILI ASUBUHI....NYOTE MNAKARIBISHWA. Ni mkutano utakaokuwa na habari nzito. Msikose" Amesema Ofisa habari wa Simba Ezekiel Kamwaga. INAENDELEA BOFYA HAPA

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª