.

STARS YAENDA GABORONE BOTSWANA LEO

Aug 14, 2012

Wachezaji wa timu ya Taifa, 'Taifa Satar' wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere tayari kwa safari  kwenda Gaborone, Botswana kwa ajili ya mechi ya kimataifa ya kirafiki itakayochezwa kesho Jumatano nchini humo.
 Mrisho Ngassa (kulia)
Juma Kaseja na wenzake

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª