.

TSC ACADEMY: TUMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA UJERUMANI

Aug 7, 2012


Viongozi wa Kituo cha Michezo cha TSC Academy cha Mwanza, wakiwa katika ukumbi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),mjini Dar es Salaam,  viongozi hao walipozungumza na waandishi wa habari leo, kuhusu ziara yao nchini Ujerumani. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kituo hicho, Mutani Yangwe ziara hiyo imekuwa ya mafanikio kutokana na timu yao kuonyesha mvuto mkubwa baada ya kutofungwa katika mechi nyingi ilizocheza huko. Viongozi hao (waliokaa) kutoka kushoto ni Kocha wa timu hiyo, Rogasian Kaijage, Rais wa TSC Academy Mwanza, Atlaf Hiran na Mkurigenzi wa kituo hicho, Yangwe.
Viongozi  na wachezaji wa kituo hicho wakiwa zawadi na makombe waliyorejea nayo kutoka Ujerumani

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª