Breaking News

Your Ad Spot

Sep 18, 2012

SACCOS YA WAHARIRI HIYOOOOOO

 Mwenyekiti wa Wamiliki vyombo vya habari nchini (MOAT), Reginald Mengi akimkabidhi hati za usajili wa WAHARIRI DEVELOPMENT SACCOS mmoja wa Viongozi wa Jukwaa la Wahariri, Daniel Chongolo, kwenye hafla iliyofanyika ukumbi wa  Karimjeel, Dar es salaam, jana, 17/9/2012. Katikati ni  Absalom Kibanda ambaye pia ni kiongozi katika Jukwaa la Wahariri
 Mengi akizungumza
 Baadhi ya wadau wa Saccos hiyo
Na hawa pia ni wadau kwenye hafla hiyo

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages