Breaking News

Your Ad Spot

Sep 8, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA VIONGOZI WA MAZIWA MAKUU, KAMPALA




 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika Mkutano wa Viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala leo Septemba 8, 2012

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taif Mhe. Shamsi Vuai Nahodha (kulia kwake) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajab Gamaha wakielekea kwenye mkutano wa viongozi wa nchi za Maziwa Makuu wanaokutana katika ukumbi wa mikutano wa Munyonyo Commonwealth Resort jijini Kampala leo Septemba 8, 2012 PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages