Breaking News

Your Ad Spot

Sep 6, 2012

SIMBA HOI KWA PAKA, YAPIGWA 3-0 NA SOFAPAKA

Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka beki  wa Sofapaka ya Kenya , Anthony Kimani katika mechi ya  kirafiki ya Kimataifa, iliyopigwa leo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Sofapaka ilishinda 3-0. (Picha na Dande Junior)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages