Breaking News

Your Ad Spot

Sep 15, 2012

UWT WAMPONGEZA DK. ASHA-ROSE MIGIR, DAR

Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpongeza Dk. Asha Rose Migiro, wakati wa sherehe ya kumpongeza Naibu Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, katika hafla iliyoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzanaia (UWT), kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam, leo.





No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages