Breaking News

Your Ad Spot

Oct 6, 2012

MAKAMU WA PILI WA RAIS, MAALIM SEIF KAZINI LEO


 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi akifafanua jambo wakati alipokutana na Waandishi wa Habari kuzungumzia masuala ya utendaji wa Serikali ya Awamu ya Saba pamoja na mambo mengine yanayohusu Zanzibar,katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi (wakatikati)akiwa katika Picha ya pamoja na Mawaziri na watendaji wa Sekta mbalimbali hukokatika Hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar. 
PICHA NA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR. 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages