Breaking News

Your Ad Spot

Nov 15, 2012

MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA WAMPOGEZA JK, SEKRETARIETI

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwasili kwenye viwanja vya Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma leo, katika hafla fupi ya kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chama, juzi. Kushoto ni Mama Salma Kikwete, Katibu Mkuu wa CCM  Abdulrahman Kinana na wanne ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba.
 MAMBO HAYA SI MCHEZO: Katibu Mkuu wa UVCCM, Martine Shigella anaonekana ndovyo alivyokuwa akisema, wakati alipokuwa kibadilishana mawazo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakati wa hafla hiyo.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akibadilishana mawazo na wasaidizi wake, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana wakati wa hafla hiyo.
 Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria hafla hiyo, wakishangilia
Wasanii wakitumbuiza ngoma ya Kigogo wakati wa hafla hiyo. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages