Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Fadhili Soraga ambaye amelazwa katika chumba cha dharura katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kufuatia majeraha ya usoni na kifuani yaliyotokana na kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi katika Uwanja wa Mwanakwerekwe mjini Unguja jana. Rais ambaye amerejea leo Jumanne Novemba 6, 2012 akitokea katika ziara ya kikazi ya juma moja katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida, amemtakia Sheikh Soraga nafuu ya haraka. Picha na Ikulu.

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269