Breaking News

Your Ad Spot

Dec 21, 2012

KUNDI LA WASANII WA AINA MBALIMBALI WATINGA IKULU KUMSHUKURU NA KUMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA KUWAJALI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Desemba 21, 2012 amepokea ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu uliomtembelea Ikulu jijini Dar es Salaaam kwa kumpongeza na kumshukuru kwa hatua yake ya kuwajali wasanii wa aina zote na hata kuamua kutoa tuzo kwa wasanii ambapo mwaka huu amewatunuku Muhidin Maalim Gurumo na Hayati Marijani Rajabu. PICHA ZAIDI INGIA UKURASA WETU WA SPOTI AU BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages