Breaking News

Your Ad Spot

Dec 8, 2012

MAHAFALI YA KWANZA CHUO KISHIRIKI CHA SAUT, MTWARA

Jumla ya wahitimu 1147 wametunukiwa shahada zao katika Mahafali ya kwanza ya Chuo cha Stella Maris Mtwara ambacho ni kishiriki cha Saint Augustine (SAUT), yaliyofanyika  chuoni hapo ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri aw Kazi na Ajira Dk. Makongoro Mahanga. Baadaye zilifuatia shamra shamra ikiwemo baadhi ya wazazi na walezi wakiwapongeza jamaa zao kwa kufuzu digrii zao, kama huyu mdau,  Benjamin Thompson akimpongeza mdogo wake Sikitu Jackob. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages