Breaking News

Your Ad Spot

Dec 21, 2012

MAHAKAMA YA RUFANI YAMREJESHEA UBUNGE LEMA


 Godbless Lema (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, wakati wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania, ilipokuwa ikitoa hukumu jijini Dar es salaam, ya rufaa aliyokata (Lema) kupinga kuvuliwa Ubunge wa Arusha mjini na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Arusha, Aprili Mwaka huu, kufuatia kesi iliyofunguliwa dhidi yake kupinga matokeo ya ubunge. Baada ya kusomwa hukumu hiyo, Mahakama hiyo imemrejeshea ubunge. Picha zaidi za tukio hilo, ingia Ukurasa wetu wa Siasa au BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages