Breaking News

Your Ad Spot

Jan 16, 2013

GLOBAL PUBLISHERS YAOMBA RADHI WASOMAJI


http://api.ning.com/files/YwgxESvlyQ7MAiAkeI1920Bv5KpUD62CflsKrq*BbdeRWepRd4ZZ5Q3Xuph3*57bl44ZCwGLImS-N0yH0XsJXcmmY7*4bOgH/GLOBALWEBSITELOGO.jpg
KUMRADHI WASOMAJI WETU
Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info hauko hewani kwa sasa kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza mapema leo ambayo yanashughulikiwa na wataalamu wetu. Ni maratajio yetu kuwa tatizo lililopo litatatuliwa mapema na Mtandao kurudi katika hali yake ya kawaida. Hata hivyo kwa wale wanaosoma magazeti yetu On Line, wataendelea kusoma kama kawaida kwa kwenda moja kwa moja kwenye anauani hii: http://www.mypublications.info/globalpublishersltd 
Tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote utaojitokeza katika kipindi hiki.

Asanteni kwa uvumilivu wenu

Web Master
Global Publishers Ltd

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages