Breaking News

Your Ad Spot

Jan 21, 2013

KAMA UTAENDA KATIKA JENGO LA KITEGA UCHUMI KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO

Watu wakiwa kwenye foleni kusubiri lifti kwa ajili ya kwenda ofisi mbalimbali katika jengo la Kitegauchumi cha Shirika la Bima, jijini Dar es salaam leo. Huduma ya lifti kwenye jengo hilo imekuwa hafifu kidogo kutokana na kutumika lifiti moja kutokana na nyingine kuwa kwenye matengenezo. Jengo hilo lina ghorofa zaidi ya kumi.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages