MKUU wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana, akifungua kikao cha kazi cha watendaji wa sekta ya elimu katika wilaya hiyo kilichofanyika leo, 14.1.2013, katika ukumbi wa CCM, Magu Mjini. Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, Naomi Nnko na Kulia ni Afisa Elimu wa Halmashauri hiyo, Yesse Kanyuma
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Naomi Nnko, akizungumza leo, 14.1.2013, katika kikao cha kazi cha watendaji wa sekta ya elimu katika wilaya hiyo. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Magu, JacquelineMKUU wa Wilaya ya Magu, Jacqueline Liana akiteta jambo na Ofisa Elimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Yesse Kanyuma, wakati wa kikao cha kazi cha watendaji wa sekta ya elimu wilayani humo, kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Magu Mjini.
WALIMU wakuu, walimu wakuu wasaidizi na waratibu wa elimu wa kata, ambao ni watendaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, wakiwa katika kikao cha kazi kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM, Magu Mjini, na kuhudhuriwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Jacqueline Liana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Naomi Nnko (hawapo pichani).
WALIMU wakuu, walimu wakuu wasaidizi na waratibu wa elimu wa kata, ambao ni watendaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, wakiwa katika kikao cha kazi kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM, Magu Mjini, na kuhudhuriwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Jacqueline Liana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Naomi Nnko (hawapo pichani). (PICHA ZOTE NA EMMENUEL NDEGE)
Have you ever considered publishing an ebook or guest authoring on other
ReplyDeletewebsites? I have a blog based on the same topics you discuss and would really like
to have you share some stories/information. I know my audience
would enjoy your work. If you're even remotely interested, feel free to shoot me an e mail.
Feel free to surf my website - earn money from home