Breaking News

Your Ad Spot

Jan 13, 2013

RAIS KIKWETE NA MAKAMU WA RAIS DK. BILAL WAMZIKA SHEIKH ABDALLAH MASOUD JEMBE MJINI BAGAMOYO

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo jioni alijumuika na mamia ya wakazi wa mji wa Bagamoyo katika mazishi ya Alhaji Shekhe Abdallah Masoud Jembe, mmoja wa mashekhe maarufu na mzee wa mji wa Bagamoyo. Pichani Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwetewakiweka udongo katika kaburi wakati wa mazishi hayo yaliyofanyika mjini Bagamoyo leo jioni
 Makamu w Rais, Dk. Muhammed Gahrib Bilal akitia udogo wakati wa mazishi hayo
 Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ambaye ni miongoni mwa waliohudhuria msiba huo, akisalimiana na Rais Kikwete msibani
Waombolezaji wakiwa kwenye maziko hayo. Picha na Freddy Maro, Ikulu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages