Breaking News

Your Ad Spot

Jan 7, 2013

WEUSI: UKIKIONA CHA NINI WENZIO WANAKUNA VICHWA KUONA WATAKIPATA LINI?

Jamaa aki-bukua kwa makini kitabu kuona jinsi mweupe anavyoweza kuwa mweusi, wakati huyu anahangaika hivi wapo Watu weusi wanaona kuwa kuwa Black ni laana, hivyo kulazimika kutumia gharama nyingi kujipausha wawe weupe.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages