Breaking News

Your Ad Spot

Feb 20, 2013

MAMBO YA VODACOM FOUNDATION

 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila,wakipokea moja ya kati ya kompyuta kumi toka kwa Mkuu wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule zenye thamani ya shilingi Milioni  zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation hivi karibuni.
 Mkuu wa Vodacom Foundation Bw.Yessaya Mwakifulefule na Meneja biashara wa kitengo cha Mahusiano Vodacom Bi.Lilian Kisamba,wakimkabidhi kompyuta kati ya 10 zenye thamani yua shilingi Milioni 7, Mwl.Joyce Martin wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama.
 Baadhi ya wananchi na wazazi wa wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama,walifika kushuhudia makabidhiano ya ya kompyuta kati ya 10 zenye thamani ya Milioni 7 zilizotolewa na Vodacom Foundation mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya MT.Theresa wa Avila.Iliyopo Mkoa wa Shinyanga Wilaya ya Kahama,wakifatilia kwa ukaribu makabidhiano ya kompyuta kati ya 10 zenye thamani ya Milioni 7 zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation. PICHA NA VODACOM

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages