Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Bi. Regina Kikuli akimshukuru kwa WHO baada ya kutoa magari saba yaliyotolewa leo (jana) ,na vifaa vingine vyenye thamani ya sh. bilioni 2.4 katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katika msaada huo magari mengine 22 yatatolewa baade.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Bi. Regina Kikuli akitoa hotuba yake ya kushukuru Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk. Rufaro Chatora baada ya kutoa magari saba yaliyotolewa leo (jana) ,na vifaa vingine vyenye thamani ya sh. bilioni 2.4 katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katika msaada huo magari mengine 22 yatatolewa baade.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269