Breaking News

Your Ad Spot

Apr 17, 2013

CCM YATIKISA IFAKARA, MKOANI MOROGORO, KINANA AONGOZA MASHAMBULIZI


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akipiga ngoma wakati wa uzinduzi wa Shina la Wakereketwa  wa CCM la tawi la Manjechanga, Ifakara mkoani Morogoro, Aprili 17, 2013.


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifungua Shina la Wakereketwa  wa CCM la tawi la Manjechanga, Ifakara mkoani Morogoro, Aprili 17, 2013.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na wananchi baada ya uzinduzi wa Shina la Wakereketwa  wa CCM la tawi la Manjechanga, Ifakara mkoani Morogoro, Aprili 17, 2013.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifurahi na watoto katika mtaa wa  Manjechanga, Ifakara mkoani Morogoro, Aprili 17, 2013.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia umati wa wananchi kwenye uwanja wa stendi ya mabasi, mjini Ifakara mkoani Morogoro, Aprili 17, 2013.
Aliyekuwa mwanachama wa Chadema, Julius Mogela akionyesha kadi yake, kwa wananchi kabla ya kumkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto) baada ya kutangaza kuhamia CCM kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Aprili 17, 2013, kwenye stebdi ya mabasi, Ifakara mkoani Morogoro.

 Baadhi ya wafanyabiashara walilazimika kusitisha shughuli zao kumsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipohutubia mkutano mkubwa wa hadhara kwenye stenbdi ya mabasi, Ifakara mkoani Morogoro. Pichani ni wauza ndizi wakiwa kwenye mkutano huo, Aprili 17, 2013.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages