Breaking News

Your Ad Spot

Apr 21, 2013

MAELFU WAFURIKA MKUTANO WA CCM MOROGORO JIONI HII

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro jioni hii, ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku nane mkoani Morogoro.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano mkubwa wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro, ikiwa ni hitimisho la ziara yake ya siku nane mkoani Morogoro.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  wakiingia kwenye Uwanja wa mkutano wa hadhara wa CCM mjini Morogoro.
 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano huo
 Maelfu wakiwa wamefurika kwenye mkutano wa CCM uliofanyika mkoani Morogoro jioni hii
 Msanii Nasibu Abdul 'Diamond' akibebwa na wasanii wake kukoleza, alipotumbuiza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika mjini Morogoro leo jioni
 Diamond akitumbuiza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika jioni hii mjini Morogoro
 Msanii Lina akitumbuiza kwenye mkutano huo
 Wasanii Chege na Temba kutoka TMK Family wakishambulia jukwaa wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika kwenye mjini Morogoro jioni hii
Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapunda akizungumza mwanzoni mwa mkutano huo. HABARI KAMILI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages