Gari ya Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ unaongozwa na mwenyekiti Spear Patrick unatarajia kuzindua hivi karibuni Gari la mtandao huo ambao litakuwa na matangazo mbalimbali ya kazi za kampuni hiyoo |
GARI HIYO INAVYO ONEKANA KWA NYUMA |
Mwenyekiti wa Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ Spear Patrick akionesha moja ya upande uliokua na matangazo hayo |
Mafundi wakiendelea kuiremba gari hiyo |
Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ |
Mwenyekiti wa Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ Spear Patrickakiwa amepozi |
MKOKO WA Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269