Breaking News

Your Ad Spot

Apr 2, 2013

WATANZANIA WA UJERUMANI KUADHIMISHA MIAKA 49 YA MUUNGANO APRILI 27, 2013 MJINI KOLON

Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani (UTU), umeandaa sherehe za miaka 49 ya Muungano wa Tanbgayika na Zanzibar, mjini Kolon, Sikuya Jumamosi, Aprili 27, 2013.
     Watanzania wote na marafiki wa Tanzanzania mnaoishi ndani na nje Ujerumani mnakaribishwa.
"Umoja ni Nguvu ! Utengano Ni Udhaifu"
 Chereko Chereko na mwenye mwana
 Watanzania jitokezeni kwa wingi.
Kwa mawasiliano zaidi at kamati.utu@googlemail.com

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages