Breaking News

Your Ad Spot

May 6, 2013

RAIS WA ZANZIBAR AWASHA MWENGE, CHOKOCHO LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt. Ali Mohamed Shein  akiwasha Mwenge wa Uhuru Mei 6,2013  katika uzinduzi wa mbio  za Mwenge wa uhuru kitaifa katika sheiha ya Chokocho, wilaya ya mkoani ,mkoa wa Kusini Pemba. Mwenge utakimbizwa katika halmashauri za wilaya na manispaa 161 za Tanzania .Kijiji cha Chokocho ndipo alipozalia Rais  huyo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. (kulia) ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na  Michezo (Tanzania) Mh, Dkt. Fenella Mukangara.

 Rais wa Zanzaibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh. Dkt. Ali Mohamed Shein  akikabidhi   Mwenge kwa Kiongozi  mbio za mwenge 2013, Juma  Ali Simai leo  katika Shehiya ya Chokocho mkoa wa Kusini Pemba. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages