Breaking News

Your Ad Spot

May 4, 2013

TASWIRA KATIKA BIASHARA YA MAJI DAR ES SALAam

 Wauza maji kwenye madumu wakisubiri wateja kwa taabu katika mtaa wa Studio, Kinondoni jijini Dar es salaam, leo mchana. Dumu moja walikuwa wanauza kwa bei ya sh. 2,000
Foleni za ndoo zikisubiri maji kwa muuzaji wa maji aliyeko la Manzese Tip Top, Dar es salaam leo jioni.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages